← Makala

Stock Taking kwa Vitendo kwa Supermarket na Pharmacy

· Mauzo360 Team

Angalia jinsi timu ya Mauzo360 inavyofanya stock taking na inventory audit kwa biashara kubwa.

Stock Taking kwa Vitendo kwa Supermarket na Pharmacy
Tunapofanya stock taking, tunahesabu bidhaa zote, tunalinganisha na rekodi za tawi, kisha tunafunga tofauti pamoja na timu. Tazama video ya stock taking: https://www.youtube.com/watch?v=6kIeOKs_4V4 Tunasaidia supermarket, pharmacy, maduka ya vipodozi na maduka ya nguo Tanzania.